Naomba kujuzwa adhabu ya mtu kushikwa na bangi kete 11

Naomba kujuzwa adhabu ya mtu kushikwa na bangi kete 11

Tafuteni hela ndugu yenu awe huru, Polisi sio watu wazuri kabisa hasa wakishatangaza dau. Hapo jueni idadi ya askari wenye huo mchongo then kila mmoja mtafutieni hata 30 kama mna mtu mzuri wa Sound hata ten ten watamuachia.

Bila hivyo hapo ni bangi wanamuongezea na siasa. Mtamsahau.
 
Nenda na laki 2 mkononi wanamuachia polisi wenyewe wana njaa.

#Nchi ishaoza kwa rushwa usipotoa rushwa huwezi kusikilizwa hivyo wanaojua sheria tupisheni kidogo
tatizo kesi yake tar5-11-2020
 
Nina ndugu yangu alikutwa na pukupuku/makapi ya bangi. Alihukumiwa aidha kifungo cha miaka mitano jela au faini ya shilingi milioni moja.
Ni hivyo tu.
 
Back
Top Bottom