robertmpumilwa
Member
- May 15, 2016
- 47
- 14
Kwa Tanzania hakuna sheria we mtafute askari aliemkamata mpe hela anamuachiaHabari wanajamvi naomba msaada wa kujua adhabu ya mtu anayoweza kuadhibiwa pindi ashikwapo na BANGI keti 11.kuna ndugu yangu kashikwa na hizo keti 11 za bangi
Wanakutisha tu we jifanye km umemsusa watakutafuta wenyewetatizo wanataka hela nyingi mno. laki tano duh na usawa huu
tatizo kesi yake tar5-11-2020Wanakutisha tu we jifanye km umemsusa watakutafuta wenyewe
Hapo atahusishwa na maandalizi ya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi.Ana kesi kubwa.Ingekuwa wakati mwingine angemuachia tuu huyo afande hiyo misokormto akavuteHabari wanajamvi naomba msaada wa kujua adhabu ya mtu anayoweza kuadhibiwa pindi ashikwapo na BANGI keti 11.kuna ndugu yangu kashikwa na hizo keti 11 za bangi
Iko ivi mkuu police wa bongo ukiwa unafatilia sana ndugu yako kituoni wanajua we hela unayo au unaogopa kukaa rumande ndo maana wanakutisha sijui mahakamani.na hata wakimpeleka mahakamani faini yake haiwezi kuwa laki tano hao niwajinga tutatizo kesi yake tar5-11-2020
sawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwishoIko ivi mkuu police wa bongo ukiwa unafatilia sana ndugu yako kituoni wanajua we hela unayo au unaogopa kukaa rumande ndo maana wanakutisha sijui mahakamani.na hata wakimpeleka mahakamani faini yake haiwezi kuwa laki tano hao niwajinga tu
Mkuu umeona ule uzi wa Gerezani na kuusoma kwa makini aisee ebu fanya mpango wa kumchomoa uyo jamaa yako akitoka atakulipa pesa yakosawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho
Hao wazushi tu mkuu wanawatisha kwa sababu wameona ndugu yako anamtu wakumfatilia kete 11 laki tano wakati kwa bei ya mtaani haifiki hata buku tanosawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho
Upo mkoa gani?
Wewe ndiye umempa ukweli wengine wanamjaza tu. Wakimpandisha kizimabni una hatari akala mvua ya kutosha.Bangi imewekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya. Zamani kidogo kwa kiasi hicho cha kete angejitetea ni mtumiaji angepewa kifungo cha miaka mitano. Ila akipandishwa kizimbani kwa hizi sheria mpya bhas atapata mvua ya maisha au miaka 30. Ni hatari sana ukikutwa na hizo bangi au madawa mengine ya kulevya, na mbaya zaidi wakiamua kukomaa na wewe ni kesi ambayo haina dhamana.
Bangi mahakamani ni mvua ya kutosha tu, mvua ya maana, unaweza shangaa miaka 30 hii hapaIko ivi mkuu police wa bongo ukiwa unafatilia sana ndugu yako kituoni wanajua we hela unayo au unaogopa kukaa rumande ndo maana wanakutisha sijui mahakamani.na hata wakimpeleka mahakamani faini yake haiwezi kuwa laki tano hao niwajinga tu
Mungu atalipa siku ya mwisho?sawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe Mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho.
Tafuteni hiyo pesa mkamtoe, ongeeni na hao maafande kesi isiende mahakamani, ombeni wasubiri kidogo, case ya bangi ni mvua ndefu sana, inawezekana ikawa mwsho wa yeye kuishi uraianisawa yaani mpk nimejikuta sielewi iweje juu ya hili. ila kwa laki tano rushwa duh!wacha tu afungwe mungu mwenyewe atalipa siku ya mwisho