Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Nijulisheni kuhusu Ajira za watu waliosoma Human Resource Menagment na pia kwa aliemaliza degree ajiendeleze na Kozi zipi?
Au asomee skills ipi?
Au asomee skills ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nmeelewaHawa ni watu muhimu sana,ndo wanaitwa Afisa Muajiri/Afisa utumishi(HR OFFICER)..ndo wanaohusika na kuajiri wafanyakazi,kupandisha mishahara n.k kila mahali iwe serikalini au sekta binafsi utakutana na Afisa Utumishi...mara nyingi wanasoma watoto wa matajiri maana ajira zake ni chache mno ndo maana watu wengi hawajui hii course,utasikia kasome ualimu,unesi au udaktari ili uajiriwe mapema...ukienda Halmashauri serikalini utakutana na hawa watu ndo maboss wanadeal na issue zote za ajira,kupandisha mishahara n.k
Ni kozi nzuri sana maana wanafanya kazi kila mahali,si hospitali,kampuni,vyuo yaani kila mahali kuna HR..
Kuhusu kujiendeleza,zipo Masters kadha zinazohusiana na kozi kama UDSM kuna MBA-Human Resource Management.
Ndo utaratibu ulivyo mkuu,Hawa taaluma yao inajihusisha zaidi na usimamizi wa rasilimali watu(HUMAN RESOURCES MANAGEMENT)...hospitali ya wilaya ina mganga mkuu ila hana mamlaka ya kupandisha mshahara daktari,Afisa utumishi wa hospitali(ambaye siyo daktari) kwa kushirikiana na Afisa utumishi wa Wilaya ndo watafanya hivyo..yaani wanasomea masuala ya recruitment process(taratibu za kuajiri),selection(namna ya kuchagua wafanyakazi bora), appraisal(kupandisha madaraja na mishahara,termination(kufukuza kazi) n.k kwa kifupi hawa ndo maboss popote utapoenda duniani au kwenye kampuni ama ofisi yoyote unayoiona...Mathalani wafanyakazi wote wanaofanya kazi serikali madaktari,nesi,walimu,watendaji wa kata,afisa kilimo,ugavi,injinia n.k wanapoajiriwa mtu anayewapokea na kuwasainisha mikataba yote ni Afisa utumishi wa ngazi husika mara nyingi ni Afisa utumishi wa Wilaya na wasaidizi wake...na hata inapokuja suala la kuongezwa mishahara hawa jamaa ndo wanahusika...Inakuwaje wapandishe vyo au mshahara wa mtu kama daktari ilhali hawana hiyo taaluma?
Asante nmeelewa
Dah mekuelewa sanaHawa ni watu muhimu sana,ndo wanaitwa Afisa Muajiri/Afisa utumishi(HR OFFICER)..ndo wanaohusika na kuajiri wafanyakazi,kupandisha mishahara n.k kila mahali iwe serikalini au sekta binafsi utakutana na Afisa Utumishi...mara nyingi wanasoma watoto wa matajiri maana ajira zake ni chache mno ndo maana watu wengi hawajui hii course,utasikia kasome ualimu,unesi au udaktari ili uajiriwe mapema...ukienda Halmashauri serikalini utakutana na hawa watu ndo maboss wanadeal na issue zote za ajira,kupandisha mishahara n.k
Ni kozi nzuri sana maana wanafanya kazi kila mahali,si hospitali,kampuni,vyuo yaani kila mahali kuna HR..
Kuhusu kujiendeleza,zipo Masters kadha zinazohusiana na kozi kama UDSM kuna MBA-Human Resource Management.
Kumbe hawa wajinga ndo wanfanya mitaa iwe migumu kusurviveNdo utaratibu ulivyo mkuu,Hawa taaluma yao inajihusisha zaidi na usimamizi wa rasilimali watu(HUMAN RESOURCES MANAGEMENT)...hospitali ya wilaya ina mganga mkuu ila hana mamlaka ya kupandisha mshahara daktari,Afisa utumishi wa hospitali(ambaye siyo daktari) kwa kushirikiana na Afisa utumishi wa Wilaya ndo watafanya hivyo..yaani wanasomea masuala ya recruitment process(taratibu za kuajiri),selection(namna ya kuchagua wafanyakazi bora), appraisal(kupandisha madaraja na mishahara,termination(kufukuza kazi) n.k kwa kifupi hawa ndo maboss popote utapoenda duniani au kwenye kampuni ama ofisi yoyote unayoiona...Mathalani wafanyakazi wote wanaofanya kazi serikali madaktari,nesi,walimu,watendaji wa kata,afisa kilimo,ugavi,injinia n.k wanapoajiriwa mtu anayewapokea na kuwasainisha mikataba yote ni Afisa utumishi wa ngazi husika mara nyingi ni Afisa utumishi wa Wilaya na wasaidizi wake...na hata inapokuja suala la kuongezwa mishahara hawa jamaa ndo wanahusika...
Ikumbukwe pia serikalini mishahara yote inapangwa na hawa jamaa kupitia wizara ya utawala bora na utumishi wa umma..
Hii course ni muhimu sana ila ajira yake ndo mtihani