Naomba kujuzwa Babershop yenye huduma nzuri zaidi jijini Mwanza

Naomba kujuzwa Babershop yenye huduma nzuri zaidi jijini Mwanza

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Nahitaji kupata huduma ya kunyoa na scrub hapa jijini Mwanza. Naomba kujua Babershop yenye huduma nzuri zaidi.
 
Mkuu hapa kuna mamashop nzuri sana vipi hutaki?
 
Mtaa wa Uhuru pale kuna Kazungu kamoja babershop ipo mkabala na Vizano hotel.Pia kuna 2 brothers babershop karibu na Lavena supermarket.
 
Mkuu kwa location uliopo sogea jiran na posta kuna babershop iko vizuri tu
 
Mtaa wa Uhuru pale kuna Kazungu kamoja babershop ipo mkabala na Vizano hotel.Pia kuna 2 brothers babershop karibu na Lavena supermarket.

Kazungu kamoja hakuna huduma nzuri japo kuna jina, pale three brothers nao wanazingua
 
Back
Top Bottom