Tafuta soko kwa kasi ya 4g mkuu. Kilo moja tu ukiuza unanunua kiwanjaNataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa.
Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
Nataka bei ya source mkuu hii ni ya sokoni!Tafuta soko kwa kasi ya 4g mkuu. Kilo moja tu ukiuza unanunua kiwanja
View attachment 2041217
Source unaweza ku bargain na mwenye bidhaa.Na
Nataka bei ya source mkuu hii ni ya sokoni!
Hatuwezi kushirikiana kaka??... Sababu pia mimi ninahuo mkakati, na nilikuwa nimeanza kufanya research kwa kiasi chake ninataarifa kuhusu vanilla pia nina watu wachache wenye uzoefu wanaweza toa taarifa kama ukihitaji darasaSoko halieleweki yani ila nataka nijaribu Kenya au Uganda