Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguo za mitumba zina mchanuo mpana kwa mtu anayezijua ziko za aina nyingi unaulia Nguo aina IPI?mfano 1-mashati ,2-bruose 3-suluari za kike / kiume huo ni mfano lakini ziko item zaidi ya mia moja ukitaka kuifanya biashara hii usiingie kichwakichwa
T.shirt za ukweli balo lake yapo yenye uzito Wa 45kg na 100 kg pia pia yapo yanayotofatishwa t.shirt ze collar name yenye roundneck
zipo kimadaraja mkuu daraja la 1'2'3 yana kiubora na unauza kutokana na mahali kwa mfano t-shert namba moja inauzwa 15000-20000 ukiikuta kweny namba mbili inauzwa 10000-15000 na hili ni jambo la kuzingatia kabla hujaanza mkuu