Naomba kujuzwa bei ya bati za ALAF

Naomba kujuzwa bei ya bati za ALAF

Sema majamaa wa Alaf washwahili sana, wakati napewa quotation niliambiwa siku 3 napata mzigo, sahivi wiki imepita napewa kalenda tu
 
Hazichuji hizi bati?, wengine tunapenda maji ya mvua kwa kunywa na kufulia.
 
Back
Top Bottom