mahonyo jr
Member
- Nov 8, 2019
- 10
- 8
Habarini,
Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar
Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi kwani?Habarini,
Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar
Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe?Tanga mjini
Ahsante mkuu itakua vzr, mtu waifuatulia dar ninae , nikijua Bei na duka inakopatikana 🙏Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe?
Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi
Pia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hioNitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe?
Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi
Mkuu,Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe?
Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi
Ulinunua kwa ngapi? NahitajiPia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hio
Butterfly (kawaida) ni shiling ngapi?Nilinunua 250k ya kawaida Kariakoo kabla haijaungua
Sijajua but hiyo ndo bei nilinunuaButterfly (kawaida) ni shiling ngapi?