Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
15,954
Reaction score
35,415
Habari wakuu,

Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakuwa mmenielewa.

Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine. Nikipata maelekezo jinsi ya kukitumia nitashukuru sana.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa hiyo bei inaonekana wale malay* wa telegram wanaijumuisha kwny bei ya k
 
Kwa hiyo bei inaonekana wale malay* wa telegram wanaijumuisha kwny bei ya k
 
Mi kuna jamaa ananiuziaga kwa bei ya jumla vipo 25 na maji yake pamoja na vilr visindano elfu 50 kama upo Arusha naweza kukuunganisha nae. Mimi nanunua hivyo naweka gheto.
 
Mkuu, mie nakushauri kuwa ungeenda tu hospitali ukapimwa tena bure kabisa.
Kujipima mwenyewe safi.....hospital kuna formalities nyingi sana......

Na sio kujipima mwenywe kile kipimo unakua nacho stand by....kazi ikija ghetto unaipima kwanza kabla ya kuanza kazi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom