Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

Naomba kujuzwa bei ya kipimo cha VVU

Haviuzwi, fika hospitali upwe bure
Habari wakuu,

Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakua mmenielewa.

Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine. Nikipata maelekezo jinsi ya kukitumia nitashukuru sana.

Natanguliza shukrani.
 
Sheria inaruhusu kujipima mwache ajipime
ndio inaruhusu ajipime, lakini kupimwa na watu walio maalumu kwa shughuri hio Ni vizuri zaiidi.

mfano kuna muda ukipima na ukachelewa kuangalia majibu, kunauwezekano mkubwa wa kukuta majibu tofauti na uhalisia na kujipa presha zisizo za msingi.

Kama inampendeza apime, lakini kupimwa na wataaram ni vizuri zaidi[emoji120][emoji120]
 
50
Mi kuna jamaa ananiuziaga kwa bei ya jumla vipo 25 na maji yake pamoja na vilr visindano elfu 50 kama upo Arusha naweza kukuunganisha nae. Mimi nanunua hivyo naweka gheto.
🥺🥺
Me nlipata kwa 15
 
Back
Top Bottom