Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mkuu, mie nakushauri kuwa ungeenda tu hospitali ukapimwa tena bure kabisa.
Sijamkataza, nimetoa ushauri tu.Sheria inaruhusu kujipima mwache ajipime
Shukrani mkuu nitatembelea pharmacyElfu 10. Ingawa baadhi ya pharmacy unaweza uziwa hadi elf 20
Nataka kupima na mtu ntakaetaka kumgegeda mkuu kwenda hospital jau mkuu tunajipima wenyeweMkuu, mie nakushauri kuwa ungeenda tu hospitali ukapimwa tena bure kabisa.
😂😂😂 Hapana mkuu nataka kujihadhari tu. Nampima nitaetaka kumgegedaUmekanyaga bomu kiongozi?. Nawe mwanga wa milele bwana akuangazie.-joking tu.
Majibu yake utayaelewa?
Mkuu jamaa anataka akapime na pisi wakiwa guest tayari, ujue nayo ya kupelekana hospitali kupanga foleni jau sana.Mkuu, mie nakushauri kuwa ungeenda tu hospitali ukapimwa tena bure kabisa.
Mkuu jamaa anataka akapime na pisi wakiwa guest tayari,ujue nayo ya kupelekana hospitali kupanga foleni jau sana
Acha hizo kinauzwa elfu 4 bei ya reja reja.Elfu 10. Ingawa baadhi ya pharmacy unaweza uziwa hadi elf 20
Kujipima mwenyewe safi.....hospital kuna formalities nyingi sana......Mkuu, mie nakushauri kuwa ungeenda tu hospitali ukapimwa tena bure kabisa.