Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

Tunamsbukuru mama mchele umepungua.. Huku kwetu unaanza 2100 kutoka 3600
 
Unga 1600 kutoka 2400 hapa ni Mtwara.. Asante mama mipango inaonekana
 
Back
Top Bottom