Naomba kujuzwa bei ya ndama wa maziwa

Naomba kujuzwa bei ya ndama wa maziwa

PresidentSalum

Senior Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
189
Reaction score
21
Wazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi?

Natanguliza shukrani.
 
Ndama ana mimba mkuu? Mimi ninaelewa mtoto wa ngombe anaitwa ndama hasa kwenye kipindi chake cha kunyonya mpaka atakapo acha kunyonya na pindi atakapo ongezeka kwa kimo hatuta muita tena ndama.

Mi ngombe ambae hajawahi zaa.
 
Wazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi?

Natanguliza shukrani.

Mkuu mimi sina ndama ila nina ng'ombe mkubwa wa maziwa, kama vp nitafute PM nikupe ng'ombe wangu huyu mkubwa umkwichikwichi ww mwenyewe, akizaa uje uchukue ndama wako
 
Nashukuru wote kwa Majibu, lakini naona bado sijapata jibu la uhakika. Pls wale wanaotaka PM, nitashukuru sana kama mkiweka wazi hapa halafu hayo mambo mengine ya PM yatafuata. Asanteni. Bei ya ndama wa Maziwa ni kiasi gani na naweza kuwapata wapi ?
 
Tafuta madaktari wa mifugo waulize,nenda duka linalouza madawa ya mifugo ulizia namba ya daktari,wao wanawajua watu wengi wanaouza ng'ombe.

Bei zinatofautiana kutokana na aina ya ng'ombe, umri wa ndama,sababu za kuuza nk. inaanzia 200,000-500,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndama ana mimba mkuu? Mimi ninaelewa mtoto wa ngombe anaitwa ndama hasa kwenye kipindi chake cha kinyonya mpaka atakapp acha kunyonya na pindi atakapo ongezeka kwa kimo hatuta muita tena ndama
Mi ngombe ambae hajawahi zaa
Hahahaaa
 
Wanaitwa mitamba
Nashukuru wote kwa Majibu, lakini naona bado sijapata jibu la uhakika. Pls wale wanaotaka PM, nitashukuru sana kama mkiweka wazi hapa halafu hayo mambo mengine ya PM yatafuata. Asanteni. Bei ya ndama wa Maziwa ni kiasi gani na naweza kuwapata wapi ?
 
ndama wa maziwa ni ngumu sana kumpata maana mfugaji anamuangalia mwenendo wake ikiwezekana anaweza kumfuga mwenyewe ndama dume ndio rahisi...ila andaa kuianzia milioni kuebdelea kupata ..
 
Niseme kuwa ndama anapatikana hapa Singida
Wakati huo huo mimi ninatafuta mashine ya kuchakata mabua kwq ajili ya chakula cha Ng'ombe
 
Back
Top Bottom