Kila mfugaji anabei yake kutokana na namna ndama wake alivyo hivyo ni vyema ukakutana na wafugaji wenyewe muweze kuongea hilo kwani inategemea pia huyo ndama Ana umri gani na ni wa Aina gani. Kwa dar wanapatikana kuanzia laki mbili na kuendeleaWazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi?
Natanguliza shukrani