Kila mfugaji anabei yake kutokana na namna ndama wake alivyo hivyo ni vyema ukakutana na wafugaji wenyewe muweze kuongea hilo kwani inategemea pia huyo ndama Ana umri gani na ni wa Aina gani. Kwa dar wanapatikana kuanzia laki mbili na kuendeleaWazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi?
Natanguliza shukrani
Kila mfugaji anabei yake kutokana na namna ndama wake alivyo hivyo ni vyema ukakutana na wafugaji wenyewe muweze kuongea hilo kwani inategemea pia huyo ndama ana umri gani na ni wa aina gani. Kwa dar wanapatikana kuanzia laki mbili na kuendeleaWazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi?
Natanguliza shukrani
Mkuu unamaanisha ndama wa mbuzi au ng'ombe???Chalinze apa ni 15,000
Mtambo au haiferNdama ana mimba mkuu? Mimi ninaelewa mtoto wa ngombe anaitwa ndama hasa kwenye kipindi chake cha kunyonya mpaka atakapo acha kunyonya na pindi atakapo ongezeka kwa kimo hatuta muita tena ndama.
Mi ngombe ambae hajawahi zaa.
Mkuu unamaanisha ndama wa mbuzi au ng'ombe???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wote wawili jumla 15,000