Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Za saa hizi humu wadau, aisee naomba mnisaidie kujua bei ya viazi mviringo /Ulaya Kwa gunia moja la kilo Mia Kwa Dar es Salaam .
Au mwenye namba za simu za mfanyabiashara au dalali anayeleta viazi Dar es Salaam toka mikoani .
Tafadhali naomba mnisaidie kwa mwenye contacts au information husika