Naomba kujuzwa bei za bati

Naomba kujuzwa bei za bati

allypipi

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2020
Posts
3,233
Reaction score
10,563
Habari wana jukwaa.

Nahitaji kujua bei ya bati za kawaida izi kwa mkoa wa mbeya Sio mtahalam sana wa mabati ila sio zile za msouth,ni bati tu zile zakawaida.

Sema futi za bati sizijui ningependa na orodha ya kila futi ya bati na orodha yake.

Asante.
 
Kuna kampuni kibao zinauza bati, wengine saiz hadi usafiri wanagharamia wao wenyew kulingana na idadi ya bati. Wanachofanya bei wanataja wanayojua na usafiri itajilipa humo humo. Search fb, insta utawapa wengi tu. Na namba za simu kuwasiliana utazipata. Wahoji utakavyopenda

Alaf
Ando
Dragon
Shunshare
Sunbank
Taishani
Bati bomba
 
Kama upo Mbeya nenda tawi la kampuni ya Alaf Mbeya mjini. Wapo jirani na SIDO utapata majibu ya uhakika.
 
Back
Top Bottom