Naomba kujuzwa bei za mabati ya Alaf Versatile gauge 30

Naomba kujuzwa bei za mabati ya Alaf Versatile gauge 30

Jaman naomba mnisaidie kunijuza bei za mabati ya alaf versatile gauge30
Alaf hawana Gauge 30. Wana G28, G26 na G24 tu.

Tafuta uzi wa Elimu kuhusu Mabati humu utakuongezea maarifa. Kipindi hiki unachotafuta mabati utasikia mengi hapa na pale mengine si ya kweli
 
Sisi Uvimo Civil Group ni mawakala wa kampuni ya ALAF si wakuuza mabati Bali wa kupata taarifa na kuchukua mzigo kirahisi kutoka kwenye kampuni/kiwandani moja kwa moja...

ALAF hii hii tunayoijua au ingine? Kua niweke fedha kwenu ndio mkaninunulie? Doh
 
Na
Sisi Uvimo Civil Group ni mawakala wa kampuni ya ALAF si wakuuza mabati Bali wa kupata taarifa na kuchukua mzigo kirahisi kutoka kwenye kampuni/kiwandani moja kwa moja.

Malipo yote unafanya na kampuni, faida unayo pata uchukuapo chini ya Uvimo Civil Group ,mzigo utaupata kwa haraka kwa kuwa sisi ni wataalam wa kupaua so tunachukua mzigo kila wakati na kutupa nafasi ya kutambulika zaidi.

0753927572 -WhatsApp
0629361896
nyinyi uvimo civil mnachukua kwa Alaf G30?
 
Alaf Moja kati ya kampuni yenye customer care mbovu kabisa, kujua bei ya bidhaa zao ni mpaka uwe na connection, simu hazipokelewi [emoji57]
 
Kweli hata mwezi huu zimepanda bei tena [emoji22]
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar darasa la ujenzi. Tuna mpango wetu unaitwa "Nyumba kwa Wote", Tumelenga kwa nia njema kabisa ya kufanya mageuzi kwa ujenzi uliozoeleka Tanzania, tumelenga na tayari tunafanya ujenzi kuwa ni mwepesi sana kwa kila mwenye nia ya kujenga.

Mpango wetu wa Nyumba kwa Wote, ujenzi wenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu, tunaachana kabisa na ujenzi wa kutumia mabati kama nyenzo kuu ya kuezekea nyumba. Tuna utaalaam wa kuunda vifaa vya ujenzi kwa kutumia vifaa tunavounda wenyewe kwenye kiwanda chetu kidogo, vifaa ambavyo vinaweza kuundwa hata kwenye site ya ujenzi ili kupunguza gharama za usafirishaji kwa mwenye kujenga. Kwa ujenzi wetu, hauna haja kabisa ya kutumia bati, ikibidi unataka kutumia bati basi litakua kwa mapambo tu.

Mpango wetu hauhusishi kuezeka tu, ni mpango kamili wa ujenzi unaoanzia kukupunguzia gharama kuanzia unapoanza kujenga msingi, kuweka sakafu, kunyanyua kuta, kuezeka. Kuezeka kwetu kutakupunguzia gharama kwa aina tatu au zaidi. Hauna haja ya mbao za bati, hauna haja ya mabati, hauna haja ya mbao za dari (blundering), hauna haja ya dari la gypsum boards na pia unaongeza thamani ya nyumba kwa kupata nafasi mpya, kiwanja kingine kipya juu ya nyumba yako, kwa maana kua sehemu (nafasi) yote ambayo ingepotea bure kwa mabo za dari na mbao za bati tunaiokoa na unaweza kuitumia. Unapata kiwanja kipya cha ujenzi juu ya kiwanja chako unachojenga.

Tafadhali poitia nyuzi zetu humu JF zinaelezea sana ujenzi wetu kwa kina na unaweza kutuuliza chochote upendacho. Pia yote tunayoyaandika unaweza kupata picha na video clips zake au unaweza kuja kujionea tulipokwisha jenga.

Ili kufupisha maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605, naitwa Abdul Ghafur.
 
Back
Top Bottom