Naomba kujuzwa bei za mabati ya Alaf Versatile gauge 30

Mngekuwa mnaweka na picha za mfano, wengine sie ni tomaso
Au hata page zenu za sosho media hivi
 
Mngekuwa mnaweka na picha za mfano, wengine sie ni tomaso
Au hata page zenu za sosho media hivi
Tunazo nyuzi humu tumeweka picha, ni vigumu kila uzi wa mtu tuweke picha zetu, pitia nyuzi zetu hizi, mma kama hazijatosha, tuandikie whatsapp tutakutumia picha, na upo huruu kuziweka kwenye mitandao:


 
Alaf Moja kati ya kampuni yenye customer care mbovu kabisa, kujua bei ya bidhaa zao ni mpaka uwe na connection, simu hazipokelewi [emoji57]
siyo kweli, ukiingia kwenye website yao kuna detail zote. tena unaweza kuoder kabisa mzigo online
 
bado mnatoa hizi huduma Abdul Ghafur?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…