Naomba kujuzwa changamoto na uzuri wa gari aina ya Nissan Dualis

Naomba kujuzwa changamoto na uzuri wa gari aina ya Nissan Dualis

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Mwenye kujua chochote kuhsu ili gari naombeni msaada, naona ni gari ambalo limenivutia sana ila sijajua changamoto zake ni nini kabla sijanunua. Karibuni kwa ushauri
 
 
Sielewi mkuu
 
unahangaika ya nin twita kuna jamaa anacahambua mcheki anaitwa samatimecar
 
namiliki boda tu, ila vijiweni wanadai hiyo gari ni nzuri tatizo ina mfumo wa umeme 100%, ikizingua kidogo inabidi ujipange kabla fundi hukumpata,

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Nissan haina tatizo.Spea za Nissan wakati wote genuine ni hali ukilinganisha na Toyota
 
Hela ya urithi uwezi kununua Nissan...tulia kwanza, nunua toyota
 
Hizi si dhani kama ni independent review
 
Hongera kijana wa miaka 41.

 
Back
Top Bottom