Naomba kujuzwa changamoto na uzuri wa gari aina ya Nissan Dualis

Naomba kujuzwa changamoto na uzuri wa gari aina ya Nissan Dualis

Mwenye kujua chochote kuhsu ili gari naombeni msaada, naona ni gari ambalo limenivutia sana ila sijajua changamoto zake ni nini kabla sijanunua. Karibuni kwa ushauri
ni gari nzuri sana na iko very comfortable but ni gari ambayo inatumia mfumo mkubwa wa umeme hivyo endapo itasumbua unatakiwa umpate fundi siyo hawa chini ya miembe

changamoto nyingine ni spare kama huna mzunguko mzuri jiandae kulia
 
Back
Top Bottom