Naomba kujuzwa chimbo la nguo za watoto za mtumba Jijini Dar

Inamaana hakuna anayejua chimbo la nguo za mtumba Grade 1 Za watoto hapa Dar, Zile za kupoint nami nikauze mitaani
 
KALUME AU SEARCH INSTA UTAWAPATA
Karume palepale mkuu au kuna mida yake nguo naona wametundika wanauza elfu 8 moja
Kariakoo shimoni na agrey wanauza kali zaidi rejareja ila sijui wanatoa wapi
 
We unataka balo au
 
Mbezi mwisho. Buku mbili mbili buku tatu vitu vya maana yaani
 
Back
Top Bottom