Skull dance
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 230
- 426
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kujifunza ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio, simu na vinginevyo naomba kujuzwa chuo kizuri cha kujifunza ufundi huo hapa Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Glory CollegeKama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kujifunza ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio, simu na vinginevyo naomba kujuzwa chuo kizuri cha kujifunza ufundi huo hapa Mwanza.
Ada yao ipoje mkuu?Naenda DIT au UDSM (CoIST) wanatoa short courses.