Naomba kujuzwa dawa nzuri ya mafua

Naomba kujuzwa dawa nzuri ya mafua

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
616
Reaction score
854
Waku habari,

Naomba kujuzwa dawa nzuri ya mafua maana yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
 
Mafua yanachuruzika au tundu za pua zinaziba?
 
Waku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Chukua tangawizi kias parua au twanga changanya na maji kikombe kimoja kunywa utaleta mrejesho mwenyewe hapa
 
Weka matone ya mkojo....as simple as that
Waku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
 
Waku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Kanunue vidonge vya Clarinase, hutajuta. Ni Antihistamine nzuri.
Kidonge kimoja ni sh 1000.
 
Hio hapo
20190606_144923-1.jpg
 
Mazoezi pia ni muhimu sana, Piga hata zoezi la kukimbia ,epuka Kutumia madawa Mara kwa Mara
 
Waku habari.
Naomba kujuzwa dawa nzuri ya mafua maana yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
1126757

Benylin 4 Flu Liquid is the best
 
Hiii dawa ni kiboko ya Mafua, nimetumia siku Moja tu, ya pili sikuyaona mafua
Izo dawa ninzur kwakweli mimi muda wote mafua yakinikamata hua natumia izo nahua najitaid kubakiza ata vidonge viwili vyaakiba mana najua yakinichachafya ata ucku natupia kdonge kimoja naamka vzr
 
Back
Top Bottom