Naomba kujuzwa English medium nzuri maeneo ya Boko - Bunju

Naomba kujuzwa English medium nzuri maeneo ya Boko - Bunju

Kitumburee

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
142
Reaction score
88
Habari zenu wana jamvi.

Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri.

Itanipa unaafuu zaidi kama nitapata shule zilizo maeneo ya Tegeta-Boko-Bunju. Ada pia iwe stahimilivušŸ™

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom