Habari zenu wana jamvi.
Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri.
Itanipa unaafuu zaidi kama nitapata shule zilizo maeneo ya Tegeta-Boko-Bunju. Ada pia iwe stahimilivuš
Natanguliza shukrani