ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hafundishwi na Mama yake kufukia makimba hilo ni suala naturally tu lipo kwenye DNA yakeNa kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
Wewe umewahi kufundisha Paka kufukia Mavi?utamfundisha wewe ulomtenga na mama ake
Ila Mavi yao yananuka vibayaHawapendi harufu mbaya.
Wanafundishwa na wanaelewa na Mimi nimefanya kazi iyo pia udogoni kwa mbwa na nyauKwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
Chukua litoto la mwanaccm mmoja, lipe nafasi ya uongozi halafu uone kama litakosa kuwa na chembechembe za ujinga na ufsadi na ulafi. Kuna tabia zipo kwenye damu.Kwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
"Fitrah"Kwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
Ewaaa hivyo hivyo hakuna mtoto anaefundishwa kunya na kujamba hata kukojoa kojo linatoka tuit's in them.... ni sawa na kunyonya kwa mtoto hakuna anayemfundiaha