Naomba kujuzwa faida na hasara za kuvaa nguo ya ndani na kutokuvaa?

Naomba kujuzwa faida na hasara za kuvaa nguo ya ndani na kutokuvaa?

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Hivi naomba kujuzwa faida za mwanaume kuvaa boxer na hasara za kutokuvaa kwa maana naona kama kero ukivaa inayotight dushe inabanwa sana korodani ndio usiseme ukivaa yakuachia space dushe inajichora mpaka sometimes aibu.
 
acha kengere zielee utakapozibana na mapaja wakati unakimbia ndio utajua hujui.[emoji23][emoji23]
 
Ukikalia kiti chenye ncha sehemu mfano msumali then jeans ikachanika ukabaki tako wazi utapigiwa miluzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana kabisa na kuvaa zilizobana zinaathiri nguvu ya kudisa, pili sidhani kama huo mdude wako unakuwa umesimama muda wote kiasi cha kuonekana kama umevaa iliyopwaya. Kwa ushauri vaa ambayo haijabana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanaumeeee
 
Nmekupata vyema
 
Back
Top Bottom