Naomba kujuzwa faida na hasara za kuvaa nguo ya ndani na kutokuvaa?

Naomba kujuzwa faida na hasara za kuvaa nguo ya ndani na kutokuvaa?

Kibaiologia; boxer inayobana inagusanisha scrotum na ngozi za mapaja.
Joto kutoka kwenye mapaja inaathiri uzalishaji wa spermatozoa na kusababisha low sperm count (primary effect)

Pia inasababisha upungufu wa nguvu za kiume (secondary effect)

Hatimaye inaleta ugumba (tertiary effect)
 
Hivi naomba kujuzwa faida za mwanaume kuvaa boxer na hasara za kutokuvaa kwa maana naona kama kero ukivaa inayotight dushe inabanwa sana korodani ndio usiseme ukivaa yakuachia space dushe inajichora mpaka sometimes aibu.
Eh, wewe inakuwaje boxer inakubana? Mimi nijuavyo, zile chupi za kizamani (brief) ndo ilikuwa ngumu kuvaa zikiwa mdebwezo. Boxer zina uwezo mkubwa wa kukuachia nafasi. Mabonge wengi walishukuru ujio wa boxer. Hebu fafanua hilo kabla hatujaanza kukujibu.
 
Mkuu ww hujawai vaa boksa alaf dyudyu inabanwa mpk ukitembea haupo comfortable!!!?
 
Mkuu ww hujawai vaa boksa alaf dyudyu inabanwa mpk ukitembea haupo comfortable!!!?
Labda inategemea na size. Mimi ninaona boxer kwa kulinganisha na chupi za jadi ,zenyewe zinaniweka huru.

Hata hivyo, kama hoja yako ni kero ya nguo,ninakubali. Katika hali ya kawaida ,tulipaswa kuwa uchi wa mnyama. Nguo ni kujiongeza kwetu tu.
 
Back
Top Bottom