Naomba kujua fursa za biashara zilizopo katika nchi mbili nilizozitaja hapo. Ni bidhaa gani naweza kutoa Tanzania nikapeleka huko au ni bidhaa gani nitaitoa huko nilete Tanzania.
Madagascar ni The leading sugarcane production in Africa..kwao sukari sio inshu..Wanategemea sana Kilimo kama sisi tu bidhaa gani sijui utawapelekea kwasababu wamezungukwa na Bandari kama zote..Mauritius sipajui..Labda jaribu kufikiria nchi nyingine