Naomba kujuzwa fursa za Biashara Madagascar na Mauritius

Naomba kujuzwa fursa za Biashara Madagascar na Mauritius

Da Lu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,840
Habari zenu Great thinkers?

Naomba kujua fursa za biashara zilizopo katika nchi mbili nilizozitaja hapo. Ni bidhaa gani naweza kutoa Tanzania nikapeleka huko au ni bidhaa gani nitaitoa huko nilete Tanzania.

Karibuni wapendwa
 
Madagascar ni The leading sugarcane production in Africa..kwao sukari sio inshu..Wanategemea sana Kilimo kama sisi tu bidhaa gani sijui utawapelekea kwasababu wamezungukwa na Bandari kama zote..Mauritius sipajui..Labda jaribu kufikiria nchi nyingine
 
Madagascar pelka vanila utapiga sana pesa mauritius peleka viungo vinalipa sana
 
Back
Top Bottom