Darwin james
Member
- Oct 18, 2023
- 26
- 24
Wewe what skills do you have?Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi?
Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science.
Nawasilisha wataalam msaada kutoka kwenu ni muhimu sana kwangu πππ nashukuru.
Hiki unachosomea ungejua thamani yake usingekua unauliza hiki unachouliza.Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi?
Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science.
Nawasilisha wataalam msaada kutoka kwenu ni muhimu sana kwangu πππ nashukuru.
Thanks mkubwaa ππ, but nakipataje hiki
Shukrani ππ sana mkubwaa, nimekuelewa hapa1.kuna graphic design...hii itasaidia kutengeneza matangazo tena ukiwa serious unafika mbali, pia kufungua studio ya picha na video.
2. Unaweza kuwa fundi wa computer upande wa hardware, hapa ongeza na ufundi wa photography machines, printers, na air-conditioning. Huwa nasaini malipo yao kwenda bank kwa kweli wanapata. Na ukifahamika na makampuni na ofisi nyingi utafurahi.
3. Kuna software engineering. Hapa uwe serious sana. Hapa unakuwa mtaaluma wa mifumo. Unaweza kuandaa yako kulingana na mahitaji ya wateja.
4. Kuna maduka ya computer unaweza kuomba kazi ambayo utakuwa mshauri kwa boss na mteja kwenye kuendesha biashara hiyo lakini kama una mtaji basi fanya wewe. Mizigo imejaa China na Dubai. Ni pesa yako tu.
NB: nakushauri kama uko chuoni tafuta ofisi ya mafundi wa computer uwe unaenda hapo. Asante mkuu.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
0766605392Thanks mkubwaa ππ, but nakipataje hiki
Dogo Darwin james umeona haya maswali yangu?Wewe what skills do you have?
Unajua kufanya nini at the very best katika computer scince?
Unapenda nini hasa katika computer science? Maana computer science ni kichaka kikubwa sana, una vitu vingi.
Umejipangaje so far? Upo kwenye online community gani ya kubadilishana mawazo na your fellow computer scientists around the world?
Umeji brand kiasi gani?
Umeitangazia dunia kuhusu wewe, skills zako na uwezo wako kiasi gani?
Darwin james
Shukrani mkubwaa,,, nimekuelewskills ndio itayokupa kazi wala sio cheti maana hata interview za serikalini lazima ufanye written uje practical alafu oral kama huna skills hutoboi maana hiyo practical ndio skill inapimwa hapo. pambana kutafuta skills anza hata na graphics kama hujui language yoyote fanya hata networking, jiunge na watu wanaofanya cctv camera au computer maintenance au jifunze hata server huwez kukosa mishe
Yeah bro nimekupata ,, but kiukwel mpaka Sasa sipo kweny online community platform yoyot , na kuhusu skills ambazo Nina prefer most ni graphics design though not yet sija master kla Ktu , I like things like printing; posters, flyers, banners, logo, business cards za biashara za watu mbal mbal ( nafikiria kuanza kufanya Hz mishe( Printing , branding, embroidery ) nikiwa more competent kweny designing) .Dogo Darwin james umeona haya maswali yangu?
Kwasababu utashauriwa kitu ambacho hakiwezi, wew fanya unachoweza, then improveKama unajua web development na programming, na ML anzisha karakana piga msuli huku ukichekecha ubongo nini ubuni ambacho watu watahitaji, kwisha habari
Acha basi Darwin hujui ni jinsi gan unataka upotee nazima kabisa yaani uende kwenye graphics tena?Yeah bro nimekupata ,, but kiukwel mpaka Sasa sipo kweny online community platform yoyot , na kuhusu skills ambazo Nina prefer most ni graphics design though not yet sija master kla Ktu , I like things like printing; posters, flyers, banners, logo, business cards za biashara za watu mbal mbal ( nafikiria kuanza kufanya Hz mishe( Printing , branding, embroidery ) nikiwa more competent kweny designing) .
Nakuhitaji tujiajili kama kuna application unaweza Fanya.Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi?
Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science.
Nawasilisha wataalam msaada kutoka kwenu ni muhimu sana kwangu πππ nashukuru.
Nikweli, kama mimi am so in need of computer scientist hapa kila siku natafuta in fouder dating platformsHiki unachosomea ungejua thamani yake usingekua unauliza hiki unachouliza.
BTW,
1. language gani unaijua?
2. Na hiyo language umeshatengezea project gani?
3. Unaweza share link ya github page yako?