Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

Bin S

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
212
Reaction score
366
Habari GTs,

Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza.

Naomba kuwasilisha.
 
Wafanyakazi wa hiyo hifadhi wanajisikia Tüma hata email wao kujibu ni shida hasa wakijua wewe ni mmatumbi
 
Mbuga kubwa km hyo aina utaratibu mtandao wakufata nakumalizana Hadi malipo ww ukienda nikupokeleaa tu nakupata huduma uliyoichagua mtandaonii😳😳😳

Km taifa tuna safari ndefu sana
 
Mbuga kubwa km hyo aina utaratibu mtandao wakufata nakumalizana Hadi malipo ww ukienda nikupokeleaa tu nakupata huduma uliyoichagua mtandaonii😳😳😳

Km taifa tuna safari ndefu sana
Hopes na TANAPA ipewe sector binafs
 
Mkuu wewe ni mgeni kwenye hii Nchi?
Watabia ya kuangalia machoni wee kama ni Wa nyangalata utasubiri sana. Ila kama ni mtasha wataramba Hadi unapokanyaga. Nasema Kenya lakini mkuu
 
Back
Top Bottom