Naomba kujuzwa gharama ya hili jengo kwenye ramani

Naomba kujuzwa gharama ya hili jengo kwenye ramani

Jaman nimechora kitu apo lkn sa kijua cost yake n chenga me sio mtaalam sana wa hiv vitu naomba msaada jamn kw raman hiiView attachment 1819758

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisha mlango wa master uwe karibu naVyumba vingine,Hamisha mlango wa Sebule ulete chini, peleka mbele baraza, weka corridor ndogo itenganishwe vyumba na sebule.
Ni hayo tu kwa haraka haraka.
Nyumba kubwa sana hiyo.
 
Hii nyumba haina madirisha wala vipimo.
Kama nimeelewa lengo lako.
25 mil. Finishing ya kawaida.
 
Naomba anaejua aniaptie ramani ya kigorofa kimoja nataka nije zangu kupumzika Afrika tena nishachoka huku, nina nyumba za chini tu ila kuna sehem nimepata inatoka nyumba tatu nataka kigoro fa kimoja cha ukweli
Hiki hapa chini
IMG_20210620_110526_171.jpg
 
da nyumba ambayo ukitoka chumbani tu uko sebuleni sijui kwanini sizikubali, mzee hiyo nyumba ni kubwa istoshe atujui ukubwa gani wa vumba unavyoitaji kuweka
 
Jaman nimechora kitu apo lakini sa kijua cost yake n chenga me sio mtaalam sana wa hiv vitu naomba msaada jamn kw raman hii.

View attachment 1819758

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....unawekaje chumba masta karibu na sebule karibu vyumba vingine? Ama kitakunyima Uhuru au kukutia aibu....labda muwe mmevaa barakoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Dah....unawekaje chumba masta karibu na sebule karibu vyumba vingine? Ama kitakunyima Uhuru au kukutia aibu....labda muwe mmevaa barakoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Wavae barakoa wakati wamekaa sebuleni au wakati gani? 😛😛
 
Baraza itoe nje then jiko na dining room viingize ndaili ili seble ipate madirisha mawili vivyohivyo kwenye master either uamishe mlango au choo kiende opposite side ili master ipate madirisha mawili
akikuelewa atakuwa ashajua gharama ya ufundi na materials
 
Kama umeshindwa kutafuta Msanifu majengo (Architect) akakuchorea basi naamini hata tofali utapanga mwenyewe.
 
Back
Top Bottom