Hamisha mlango wa master uwe karibu naVyumba vingine,Hamisha mlango wa Sebule ulete chini, peleka mbele baraza, weka corridor ndogo itenganishwe vyumba na sebule.Jaman nimechora kitu apo lkn sa kijua cost yake n chenga me sio mtaalam sana wa hiv vitu naomba msaada jamn kw raman hiiView attachment 1819758
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok dearHapana ,15m kuweka grill ,kupaua na plasta.
Alichomaanisha 15M ni kidogo mnoInasikitisha sana kuona 15m ni nyingi kwa nyumba kama hiyo!! Usipokuwa makini inaweza kugonga hadi 25m.....Mimi ni fundi Mkuu najua kuchora ramani kwa Arc card/Auto card na pia kujenga!! Nipe deal.
Hiki hapa chiniNaomba anaejua aniaptie ramani ya kigorofa kimoja nataka nije zangu kupumzika Afrika tena nishachoka huku, nina nyumba za chini tu ila kuna sehem nimepata inatoka nyumba tatu nataka kigoro fa kimoja cha ukweli
Dah....unawekaje chumba masta karibu na sebule karibu vyumba vingine? Ama kitakunyima Uhuru au kukutia aibu....labda muwe mmevaa barakoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Jaman nimechora kitu apo lakini sa kijua cost yake n chenga me sio mtaalam sana wa hiv vitu naomba msaada jamn kw raman hii.
View attachment 1819758
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] iko buza hiiHiki hapa chiniView attachment 1824504
Mbona ghorofa halina columns?Hiki hapa chiniView attachment 1824504
Kuta zinasimama kama columns,lakini zipo hapo mbele kwenye verandaMbona ghorofa halina columns?
Wavae barakoa wakati wamekaa sebuleni au wakati gani? ππDah....unawekaje chumba masta karibu na sebule karibu vyumba vingine? Ama kitakunyima Uhuru au kukutia aibu....labda muwe mmevaa barakoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Hii inaitwa fosi kingi....Mbona ghorofa halina columns?
akikuelewa atakuwa ashajua gharama ya ufundi na materialsBaraza itoe nje then jiko na dining room viingize ndaili ili seble ipate madirisha mawili vivyohivyo kwenye master either uamishe mlango au choo kiende opposite side ili master ipate madirisha mawili
Jaman nimechora kitu apo lakini sa kijua cost yake n chenga me sio mtaalam sana wa hiv vitu naomba msaada jamn kw raman hii.
View attachment 1819758
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....wakati wamekaa sebuleni....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Wavae barakoa wakati wamekaa sebuleni au wakati gani? ππ