Naomba kujuzwa gharama ya kupandikiza Mimba

Naomba kujuzwa gharama ya kupandikiza Mimba

Salam,
Napenda kufahamu gharama za kuoandikiza mimba hapa nchini Tanzania
pole mkuu, jaribu kuwacheki hawa kwenye website yao wana maelezo kamili

pole mkuu, jaribu kuwacheki hawa kwenye website yao wana maelezo kamili

Mbona ni jambo jema tu lakini nashindwa kuelewa kwanini Watu wanampatia mleta mada pole?

Au ni majanga yatayokukuta hadi apewe pole?
 
Back
Top Bottom