comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChanikaLocation?
UkubwaChanika
Nimeshaandika juu hapo nyumba ya aina gan ndogo tuusanaUkubwa
Ndogo tuusana ndio kipimoNimeshaandika juu hapo nyumba ya aina gan ndogo tuusana
Wela vipimo ....jombaaaasNimeshaandika juu hapo nyumba ya aina gan ndogo tuusana
Chanika ipi?Chanika