Naomba kujuzwa gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nje na ndani

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
 
Nipo hapa mkuu ebu twende mdogo mdogo..
Umesema plasta na nini
 
Mifumo ya cement 10 Kwa kuanzia tu ila uwe tayari kuongeza mingine Sita si unajua mafundi Tena. Mchanga Lori moja inatosha kabisa na unabaki


Floor ya chini mifuko mitano ndoo 20 kubwa za kokoto
 
Na mimi nasubiri majibu kutoka kwa wajuzi wa maswali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…