Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Usitoe jino.1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.
2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama kuziba?
Naomba kuwasilisha.
Nenda kalizibe