Naomba kujuzwa gharama ya kuziba meno

1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.

2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama kuziba?

Naomba kuwasilisha.
Usitoe jino.
Nenda kalizibe
 
Ahsante mkuu Kheri kuziba kuliko kuwa Β½ Kibogoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…