yahooo Senior Member Joined Apr 8, 2015 Posts 126 Reaction score 276 Sep 16, 2024 #1 Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo
Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo