Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Wadau gharama ya statar ya Mercedes Benz c180 used.
Fuer pump pia.
Fuer pump pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Model ya mwaka gani? Kwa urahisi zaidi weka chassis numberWadau gharama ya statar ya Mercedes Benz c180 used.
Fuer pump pia.
Fuer pump ndio fuel pump bila shaka. Naomba wadau tumueleweWadau gharama ya statar ya Mercedes Benz c180 used.
Fuer pump pia.
Sawa mkuu asubuhi nawekaModel ya mwaka gani? Kwa urahisi zaidi weka chassis number
Ikibidi taagiza engine kma haitozidi 2mHivi kwenye maduka ya vifaa used unaweza kuta kifaa cha Benz? Kwanini usiwasiliane na wanaoagiza magari au vifaa nje moja kwa moja, ili kuokoa muda.
Mkuu kama unaweza kuja Arusha na cm yko uje uipige picha mkuu. Ntakulipia nauli marazi na poshoPicha za tecno nazo changamoto kweli.
Kwa hizi picha tu ni aheri ukatafute used Tandale 😅 mkuu! Humu wadau watakuchosha tu na bei ya mpya ni mkasi😅Ikibidi taagiza engine kma haitozidi 2mView attachment 2018069
tafuta Engine 1G funga humo utasahau shida ndogo ndogo.Ikibidi taagiza engine kma haitozidi 2mView attachment 2018069
hiyo nauli tuma basi mkuu. Buku 20 tu cyo nyingi kwa mtu unaemiliki BenzMkuu kama unaweza kuja Arusha na cm yko uje uipige picha mkuu. Ntakulipia nauli marazi na posho
Nashukuru mkuu. Unaweza haitoleta shida mkuu ?tafuta Engine 1G funga humo utasahau shida ndogo ndogo.
Haina shida nimewahi kufunga kwenye MercedesNashukuru mkuu. Unaweza haitoleta shida mkuu ?
Ukipata fundi mzuri anaifunga haina shida. Hiyo Engine nimefunga kwenye Mercedes E 220 mwendo mdundo.Nashukuru mkuu. Unaweza haitoleta shida mkuu ?
Mkuu hapo unaona umemalizaaa... Anyways I take passo as choo chakukaa kinachotembea. Jisikie aibu bs kusifia uchafu mbele ya gari za wanaume waliokomaa kiakiri na kiuchumi.Toyota Passo yangu saaafi. Used parts kila mtaa. Bei affordable. Sina stress!
dah we jamaa ungekuwa na uwezo hata wa kumuongezea uhai mbu kwa dakika mbili tu,nafikiri dunia ingesimama,sio kwa dharau hizo,uzuri ni kwamba"MAISHA NI YA MUNGU"tajiri na profesa wanakufa kwa corona,chizi wa jalalani mzima wa afya,,,Mkuu hapo unaona umemalizaaa... Anyways I take passo as choo chakukaa kinachotembea. Jisikie aibu bs kusifia uchafu mbele ya gari za wanaume waliokomaa kiakiri na kiuchumi.