Naomba kujuzwa gharama ya statar ya Mercedes Benz c180 used

Naomba kujuzwa gharama ya statar ya Mercedes Benz c180 used

Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada
 
Back
Top Bottom