Mkuu hapo unaona umemalizaaa... Anyways I take passo as choo chakukaa kinachotembea. Jisikie aibu bs kusifia uchafu mbele ya gari za wanaume waliokomaa kiakiri na kiuchumi.
Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada