Naomba kujuzwa gharama ya ujenzi wa hospitali

Naomba kujuzwa gharama ya ujenzi wa hospitali

Una kadiria itakua na uwezo wa kutibu watu wa ngapi kwa siku
Huduma za kulazwa zitakuwepo?
Una mpango wa kuweka maabara, theatre na x-ray room?
Namba ya wafanyakazi na mishahara yao.
Usisahau, wafanya usafi na makarani pia ni watu muhimu.
 
Unahitaji ihudumie watu wangapi,itakua na vitengo vingapi,vifaa/machine gan utataka ziwepo,wodi za kulaza wagonjwa wangapi? Mambo ni mengi ambayo yataathiri gharama za hospitali uitakayo
 
Jamani samahanini natamani kujua ni gharama gani Yani fedha kwa makadilio inayoitajika kuanzisha hospitali
Kuna hospitali moja nimeona leo wameotangaza kwenye ITV imejegwa kwa tsh 400,000,000 ni nzuri nimeitamani
 
Hospitali ukiwa na 200 M unaanza
Kituo cha afya ukiwa na 100 M unaanza
Zahanati ukiwa na 80 unaanza
Clinic ukiwa na 20 M unaanza
Mhh, Mkuu unazungumzia pamoja na vifaa vyake (on the minimum scale), au umeweka kwa ujenzi/ukarabati wa miundo mbinu tu? Naomba tusaidie mchanganuo kwa 20M ya clinic tuone.
 
Hospitali ukiwa na 200 M unaanza
Kituo cha afya ukiwa na 100 M unaanza
Zahanati ukiwa na 80 unaanza
Clinic ukiwa na 20 M unaanza
weweeeeeweee mashine moja tu ya CT scan zaidi ya milion 200 iyo milion miambili labda dispensary au duka la dawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
weweeeeeweee mashine moja tu ya CT scan zaidi ya milion 200 iyo milion miambili labda dispensary au duka la dawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanza ungejua sifa ya kuitwa hospitali ndomana hospitali zina hadhi tofauti tofauti ndomana eleweni maana ya kuanza... Kwamba unaweza kuanza sio kukamilisha
 
Back
Top Bottom