Elewa maana ya kuanza,, na hospitali zina hadhi yake tofauti tofauti,, unaweza ukaanza na vitengo baadhi na. Vingine vinaintroduced as business growing..unaongelea hospitali au majengo ya hospitali ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa maana ya kuanza,, na hospitali zina hadhi yake tofauti tofauti,, unaweza ukaanza na vitengo baadhi na. Vingine vinaintroduced as business growing..unaongelea hospitali au majengo ya hospitali ?
Aina gani ya clinic unataka mchanganuo? Hapa nazungumzia specialized medical field... Tuanzie hapa kwanza.Mhh, Mkuu unazungumzia pamoja na vifaa vyake (on the minimum scale), au umeweka kwa ujenzi/ukarabati wa miundo mbinu tu? Naomba tusaidie mchanganuo kwa 20M ya clinic tuone.
Kwani kila hospital ina CT scan ????weweeeeeweee mashine moja tu ya CT scan zaidi ya milion 200 iyo milion miambili labda dispensary au duka la dawa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naam Mkuu, tuanzie hapo hapo Specialized Clinic yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa specialty MOJA tu mfano Internal Medicine (Magonjwa ya ndani kama Kisukari, Moyo, figo,ufumo wa upumuaji nk).Aina gani ya clinic unataka mchanganuo? Hapa nazungumzia specialized medical field... Tuanzie hapa kwanza.
Uwez ukaweka clinic ya internal medicine mzee lazima uwe specific MMED in what? Hapo ndo unaenda kupata clinic kama ni figo ni figo tu, maana ya clinic ni kuwa mgonjwa anakuja akiwa kashakuwa diagnosed, kama ni kansa ishajulikana ni kansa anakuja clinic kwa kupata clinical management na kumonitor prognosis ,, so kuwa specific kaka unataka kudeal na nini...Naam Mkuu, tuanzie hapo hapo Specialized Clinic yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa specialty MOJA tu mfano Internal Medicine (Magonjwa ya ndani kama Kisukari, Moyo, figo,ufumo wa upumuaji nk).
Naomba tusaidie, mchanganuo in terms of Lab equipments , consultantion rooms, pharmacy and other related clinic legal framework.
soma tena utopolo wako af uandike upyaUwez ukaweka clinic ya internal medicine mzee lazima uwe specific MMED in what? Hapo ndo unaenda kupata clinic kama ni figo ni figo tu, maana ya clinic ni kuwa mgonjwa anakuja akiwa kashakuwa diagnosed, kama ni kansa ishajulikana ni kansa anakuja clinic kwa kupata clinical management na kumonitor prognosis ,, so kuwa specific kaka unataka kudeal na nini...
Ha ha aya daktari sema nilekebishe weww mimi huwa nipo tayari kujifunza ndomana kila jukwaa mimi ninachangiaga,, nilekebishe makosa kama kna sehemu nimekosea maana mimi sio medical expert ila nimepata tu kushiriki kwenye hii miradi upande wa sanitary infrastructuressoma tena utopolo wako af uandike upya
Asante mkuu, nimesoma pia reply yako post #28, Nimefurahi kwa kuwa umekiri kitu, no wonder umenijibu namna hii. Kuweka rekodi sawa, huo mfano wa clinic niliyokuomba mchanganuo wake unaweza kuanzisha. Uhalisia ni kwamba, hauwezi kuanzisha "a functional Clinic" kwa hiyo 20M uliyosema. Hii wala haikusudii kukatisha watu tamaa, ni katika kuwekana sawa.Uwez ukaweka clinic ya internal medicine mzee lazima uwe specific MMED in what? Hapo ndo unaenda kupata clinic kama ni figo ni figo tu, maana ya clinic ni kuwa mgonjwa anakuja akiwa kashakuwa diagnosed, kama ni kansa ishajulikana ni kansa anakuja clinic kwa kupata clinical management na kumonitor prognosis ,, so kuwa specific kaka unataka kudeal na nini...
Hospitali gani unaanza na 200M?Hospitali ukiwa na 200 M unaanza
Kituo cha afya ukiwa na 100 M unaanza
Zahanati ukiwa na 80 unaanza
Clinic ukiwa na 20 M unaanza