Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

Anzia ofisi yoyote ya kata au wilaya umwone afisa ustawi wa jamii. Ndani ya wiki Moja utakuwa umeshapima
 
Ni laki moja mkuu kipimo! Ila fuata taratibu zote.
Hawa wanawake wanapenda kubambikia watoto hakuna kitu kinauma kama hicho! Kubambikiwa na baadae kuja kujua kuwa mtoto si wako.
Bora akuambie ukweli kuwa alitereza hapo ndio utaona mnafanyaje!

Hata wazungu nao hawapendi kubambikiwa. Hio ni dhambi sana wanawake hawajui tu. Alafu unakuta jamaa bado linamla na amemzalia..
Usitishiwe na kauli za watu humu kuwa kitanda sijui hakizai haramu.

Mwanamke hadi kufikia kuzaa na mwanaume mwingine ni Hatari sana hata maisha yako yanakua yapo ukingoni.
LISTEN TO YOUR HEART bado unasafari ndefu ya maisha.usifanye kitu kwa huruma na kuja kuumia baadae.
 
Back
Top Bottom