ahmedjuma4
Senior Member
- Jul 16, 2019
- 103
- 217
Sawa kiongoziMkuu
Weka Na Ramani Ili Wajuzi Wakitoka Church Wakupe Mrejesho
Haipungui 4ml kwa bati peke yake.Picha ya ramaniView attachment 2293632
Kama haujajenga bado, ninakushauri ujenge kwanza. Unawezakukatishwa tamaa na gharama za kupaua na kuezeka ila ukishajenga unapata moyo wa kutafuta vyanzo vya kumalizia.Picha ya ramaniView attachment 2293632
Haipungui 4ml kwa bati peke yake.
11*12 ni ukubwa wa nyumba au ukubwa wa paa?Habari za jumapili Wadau.
Kuezeka nyumba ya 11×12 inaweza kughalimu shingap?
Kama atapatikana mtaalam nikamtumia na ramani itakuwa nzuri ili aiangalie then anipe mrejesho wa kila kitu na ikiwezekana tutampatia kazi hio moja kwa moja but kama tutaelewana.
Naomba kuwasilisha
Shukrani sana mkuu, naufanyia kazi ushauri wakoKama haujajenga bado, ninakushauri ujenge kwanza. Unawezakukatishwa tamaa na gharama za kupaua na kuezeka ila ukishajenga unapata moyo wa kutafuta vyanzo vya kumalizia.
Ukubwa wa nyumba mkuu11*12 ni ukubwa wa nyumba au ukubwa wa paa?