Naomba kujuzwa gharama za kuezeka nyumba

Naomba kujuzwa gharama za kuezeka nyumba

ahmedjuma4

Senior Member
Joined
Jul 16, 2019
Posts
103
Reaction score
217
Habari za jumapili Wadau.

Kuezeka nyumba ya 11×12 inaweza kughalimu shingap?

Kama atapatikana mtaalam nikamtumia na ramani itakuwa nzuri ili aiangalie then anipe mrejesho wa kila kitu na ikiwezekana tutampatia kazi hio moja kwa moja but kama tutaelewana.

Naomba kuwasilisha
 
Picha ya ramani
Screenshot_20220717-073300_Adobe%20Acrobat.jpg
 
Habari za jumapili Wadau.

Kuezeka nyumba ya 11×12 inaweza kughalimu shingap?

Kama atapatikana mtaalam nikamtumia na ramani itakuwa nzuri ili aiangalie then anipe mrejesho wa kila kitu na ikiwezekana tutampatia kazi hio moja kwa moja but kama tutaelewana.

Naomba kuwasilisha
11*12 ni ukubwa wa nyumba au ukubwa wa paa?
 
Kama haujajenga bado, ninakushauri ujenge kwanza. Unawezakukatishwa tamaa na gharama za kupaua na kuezeka ila ukishajenga unapata moyo wa kutafuta vyanzo vya kumalizia.
Shukrani sana mkuu, naufanyia kazi ushauri wako
 
Fundi mzuri anaanzia 1.5m; bati, valei, na kofia chukua kiwandani kutokana na vipimo vya jengo lako.
 
Back
Top Bottom