Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wire 1.2mm? Wire 2.1mm? Siyo 1.5mm na 2.5mm? Kweli mambo yanabadilika haraka sanaInategemeana na sehemu husika
Imekaaje
2
Inategemeana na aina ya wayaring system unayoitaka
Utataka conduit au surface
Yaani waya zipite kwenye bomba au zipite kawaida
Kama zitapita kwenye bomba
Pesa yakutindua ukuta itaongezea ila kama utafanya surface basi hera ya waya itaongezeka kwasababu surface inazingatia kona koba
Na kona kina zinamaliza waya
Anyway
Kitawala kikuu (mainswitch) tuseme 30000
Circuit bleaker 13000
Earthrod labda uweke ya 6000 japo zipo had za 40000
6mm (ile inayochukua umeme nje kuleta ndani) labda uchukue 3meter ambaya garama yake ni 4000 kwa meter
1.2mm hapo tuseme kama 40 meter ambayo nayo imepanda bei kidogo nadhan now inacheza kwenye 1500 kwa meter au pungufu kidogo
2.1mm utachukua mita 15 ambayo inacheza kwenye 1800-2000
Square box zitakua 4
Switch sockets zitakua2
Lamp horder zitakua 3 ndani mbili na nje moja
Na crips usizisahau apo
Tuseme maxmum kwa vifaa tu vinaweza kufika 150 hadi 200
Fundi sijajua kwasabau kila mtu na bei zake
Usisahau muhuri!
Ghalama yakulipia tanesco inategemeana na ulipo nadhan mjini ni laki 321 ila vijijini ni elfu27
Wire 1.2mm? Wire 2.1mm? Siyo 1.5mm na 2.5mm? Kweli mambo yanabadilika haraka sana
Mara nyingi huwa 25% to 35% ya gharama za materialsHabari wakuu,
Naomba kujuzwa gharama ya kufanya wiring kwa room mbili tu, pamoja na vifaa vyote vinavyohitajika.
Kabisa mkuu, naiona faida ya JFNatumae mleta mada umepata muongozo...
Huu ni muandiko wako mkuu ama wa fundi mwenyewe? 🤔Chief alichokushauri King Kong III kina mantiki.
Mimi nyumba ya vyumba vi4 hesabu ya vifaa vya umeme ilikuwa laki 4 na ushehe hivi nikakadiria nikafanya laki 5,
Gharama ya vifaa vya umeme na maji imefika laki 8 hivi. View attachment 1720129
Huo ni muandiko wa fundi, kaandika jina la kifaa, idadi na bei yake..Huu ni muandiko wako mkuu ama wa fundi mwenyewe? [emoji848]
roller moja la wire e.g. red bei gani boss? Switches na switch sockets umeweka? Bulb holders je? Earth wire na earth rod?
aah hapo penye vifaa vilivyoandikwa chini ya neno "maji" nilikua napata taabu kuvisoma vizuri. muandiko wa kifundi zaidi shekh wangu 😁Huo ni muandiko wa fundi, kaandika jina la kifaa, idadi na bei yake..
Mie nimepiga hesabu, pembeni kabisa.. Ukitizama vizuri uandishi wa namba zinatofautiana
Vipi kwani sheikh!?
[emoji23]aah hapo penye vifaa vilivyoandikwa chini ya neno "maji" nilikua napata taabu kuvisoma vizuri. muandiko wa kifundi zaidi shekh wangu [emoji16]
tunajifunza vitu kidogo ambavyo huenda siku moja vikatusaidia. [emoji1666]
Sina hakika na hizo dimensions ila Siku hizi consumption kubwa ipo kwenye pasi labda wengi wetu tunatumia led ambazo ni very light kwenye current consuption.Wire 1.2mm? Wire 2.1mm? Siyo 1.5mm na 2.5mm? Kweli mambo yanabadilika haraka sana
vifaa itakutoka si zaidi 120,000Habari wakuu,
Naomba kujuzwa gharama ya kufanya wiring kwa room mbili tu, pamoja na vifaa vyote vinavyohitajika.
Gharama zake ni ndogo sana mkuu wasikutishe.
Kwa room mbili:-
1. Lazima kila room iwe na bomba nne za ukutani yaani za taa 2 na za TV mbili ina maana utanunua bomba nane, pia bomba za kutambaa kwenye mtambaa panya lets say 10 kwa kila chumba jumla 20, max weka 30 ambao ni Tsh 45,000/=(Zile Nyeupe ndio ngumu).
2. Nyaya blue, red na black rola moja moja jumla Tsh 90,000-100,000/=
3. Vibati na socket kimoja jero lets say 16 unanunua 8,000/=
4. Main Switch 4 ways - elfu 50, cb =25,000/=
5. Waya wa 16 hapo inategemea na umbali wanauza kwa meter ambapo kwa Meter ni buku 2-3.
Kwahiyo Jumla hapo juu haizidi 250,000/= Fundi ni maelewano naye tu.
Wire 1.2mm? Wire 2.1mm? Siyo 1.5mm na 2.5mm? Kweli mambo yanabadilika haraka sana
Hela Not Hera!Niko fast mkuu hapa sipati hera![emoji23][emoji23]
hizi size za 1.2mm na 2.1mm zinatumika wiring gani, mbona watu mnawalisha matango pori wadau,Inategemeana na sehemu husika
Imekaaje
2
Inategemeana na aina ya wayaring system unayoitaka
Utataka conduit au surface
Yaani waya zipite kwenye bomba au zipite kawaida
Kama zitapita kwenye bomba
Pesa yakutindua ukuta itaongezea ila kama utafanya surface basi hera ya waya itaongezeka kwasababu surface inazingatia kona koba
Na kona kina zinamaliza waya
Anyway
Kitawala kikuu (mainswitch) tuseme 30000
Circuit bleaker 13000
Earthrod labda uweke ya 6000 japo zipo had za 40000
6mm (ile inayochukua umeme nje kuleta ndani) labda uchukue 3meter ambaya garama yake ni 4000 kwa meter
1.2mm hapo tuseme kama 40 meter ambayo nayo imepanda bei kidogo nadhan now inacheza kwenye 1500 kwa meter au pungufu kidogo
2.1mm utachukua mita 15 ambayo inacheza kwenye 1800-2000
Square box zitakua 4
Switch sockets zitakua2
Lamp horder zitakua 3 ndani mbili na nje moja
Na crips usizisahau apo
Tuseme maxmum kwa vifaa tu vinaweza kufika 150 hadi 200
Fundi sijajua kwasabau kila mtu na bei zake
Usisahau muhuri!
Ghalama ya kulipia Tanesco inategemeana na ulipo, nadhani mjini ni laki 321 ila vijijini ni elfu27